Katika jitihada za kupambana na uchafuzi wa mazingira sambamba na upatikanaji wa maji safi na salama, nchini Tanzania kuna vijana wawili ambao wameanzisha teknolojia ya mashine za digitali ambazo ...
Uchafuzi wa mazingira unapoendelea kusababisha maafa, inakadiriwa kuwa Afrika inahitaji mabilioni ya majiko yanayoendana na mabadiliko ya hali ya hewa. Lakini je, juhudi hizo zimefikia wapi? Barani ...
Ni habari mbaya kwa wale wanaofurahia kile wanachofikiri ni kikombe kimoja cha divai kwa siku. Utafiti mpya wa kimataifa ulimwenguni uliochapishwa katika jarida la Lancet umethibitisha utafiti ...
Rais wa Marekani Donald Trump alisema katika mitandao ya kijamii Mei 3 kwamba anazindua operesheni inayoitwa Project Freedom ili kuhakikisha upitaji salama wa meli kwenye Mlango Bahari wa Hormuz.