Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerubaga awasifu Waganda kama watu bora zaidi duniani.
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ametia saini sheria kubatilisha mkataba wa maelewano kati ya Ethiopia na Somaliland.
Vyombo vya Habari nchini Tanzania vimepigwa marufuku kutangaza ushuhuda unaotolewa mbele ya tume inayochunguza ghasia za ...
Mwanachama maarufu wa upinzani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedai kulikuwa na jaribio la kumuua wakati wa ibada ya siku ya Jumapili kanisani.
Deniz Undav amefunga bao la 11 katika mechi 12 za Bundesliga wakati Stuttgart ilipoicharaza Borussia Moenchengladbach Jumapili kupanda hadi nafasi ya nne kwenye jedwali la Bundesliga.
SERIKALI imesema imeimarisha huduma za msaada wa saikolojia na unasihi katika siku 100 za uongozi wa kipindi cha pili cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wa ...
TANZANIA imepanda na kustawisha miti 691,523,763 katika kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2020-2024 kupitia kampeni ya ...
SIKU zote namba huwa haziongopi. Licha ya kuruhusu bao moja mbele ya Esperance ya Tunisia katika mechi ya Kundi D ya Ligi ya ...
Mchezo mkubwa wa soka nchini unatarajiwa kupigwa tarehe 8 Februari 2026, ambapo vigogo wa soka Simba na Yanga watakutana uso kwa uso katika Uwanja wa Taifa, Benjamin Mkapa. Tayari hali ya ...